IQNA

Bango | Hakuna usiku tunaolala bila kuwaza kuhusu maadui wetu

Hakuna usiku tunaolala bila kuwaza kuhusu maadui wetu ambao wako mbele ya macho yetu. Utawala huu (wa Israel) hautadumu. Matendo ya utawala huu mamluki yanaonyesha kuwa utawala huu hauko imara na hakuna dalili na athari za uthabiti zinazoweza kuonekana katika utawala huu. [Sehemu ya hotuba ya shahidi Haj Qassem Soleimani katika sherehe za kumbukumbu ya kifo cha kishahidi cha Haj Emad Mughniyeh; (17 Machi 2018)

ما هیچ شبی نمی‌خوابیم مگر به دشمن‌مان فکر می‌کنیم